Rais Dkt. Magufuli Akiwapisha Mawaziri na ManaibuWaziri Leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Na Kalonga Kasati

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimuapisha waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii na Jinsia, wazee na
watoto, Ummy Mwalimu katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu
Waziri , leo katika ukumbi wa Ikulu
Wasomi Kumjadili Rais Dk. MagufuliChuo kikuu cha Dar es Salaam Kesho
Waandaaji
wa Mdajala kuhusu Hotuba ya Rais Dk. John Magufuli, aliyoitoa wakati wa
kufungua Bunge mjini Dodoma, wakizungumza na waandishi wa habari leo,
katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment