Saturday 26 December 2015

Operesheni Kuondoa Wafugaji yasitishwa Askari wa Wanyamapori Wanaonyanyasa Wafugaji


Mawaziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Na wa Maliasili na Utalii, Wameonya Askari wa Wanyamapori Wanaojihusisha Na Utesaji, Unyanyasaji na kujipatia fedha Haramu kwa kukamata Mifugo au Wakulima, Waache Mara moja Badala Yake, Wazingatie Maadili ya kazi yao.Aidha, Serikali imetangaza kusitishwa kwa operesheni za kuwaondoa Wafugaji kwenye Maeneo Wanayochungia Mifugo ikiwemo Mapori Tengefu, wakati Ukifanyika

No comments:

Post a Comment