Tuesday 28 April 2015

Polisi wawapiga mabomu wananchi






Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa.
Wanafunzi wa Chuo cha Ualimu wa Elimu Maalum Patandi, mkoani Arusha jana walifanya vurugu zilizowalazimisha Polisi kuwasambaratisha kwa mabomu.