Wednesday 16 December 2015

Waziri Wa Kilimo na Uvuvi na Mifugo Mwigulu Atoa Saa 48 Kwa Kampuni Ya Sparkway Ltd



12366312_784366415022667_2714867517536111848_nWaziri wa Kilimo Uvuvi na Mifugo Mh.Mwigulu Lameck Nchemba akiongea jambo.
Waziri wa Kilimo Uvuvi na Mifugo Mh.Mwigulu Lameck Nchemba atoa saa 48 kwa kampuni ya Sparkway ltd kulipa BIllion 3.4 kwa Wakulima wa korosho Mkoa wa pwani.

Kufuatia agizo hio,Wakulima Waliouza korosho Hiyo Wataanza kulipwa Jumatatu ya Tar.21.12.2015.

No comments:

Post a Comment