Friday 27 January 2017

Ziara ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Mkoani Njombe

njon1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa mpira wa shule ya sekondari ya Mpechi mjini Njombe Januari 27, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
njon2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa mpira wa shule ya sekondari ya Mpechi mjini Njombe Januari 27, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
njon3
Wananchi wa Mji wa Njombe wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara  kwenye uwanja wa mpira wa Shule ya Sekondari ya Mpechi Januari 27, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
njon4

njon5
Mmoja wa wananchi waliofika kwenye uwanja wa  mpira wa Shule ya Sekondari ya Mpechi mjini Njombe akitoa dukuduku lake kwa njia ya karatasi wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa mpira wa Shule ya Sekondari ya Mpechi, Januari 27, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
njon6
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa mji wa Njombe wakati alipowasili kwenye uwanja wa  mpira wa Shule ya Sekondari ya Mpechi kuhutubia mkutano wa hadhara Januari 27, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
njon7 njon8
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua nyumba za Askari Polisi ambazo kwa muda mrefu hazijakamilika katika mji wa Ludewa Januari 27, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
No comments:

Post a Comment