Saturday 26 December 2015

Waziri Mahiga Ateta Na Rais Nkurunziza Kwa Masaa Mawili


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Wa Kimataifa, Dk Augustine Mahiga, Amekutana na kufanya Mazungumzo na Rais Pierre Nkurunziza Wa Jamhuri ya Burundi, kwenye Ikulu yake Jijini Bujumbura. Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, iliyotumwa Jana kwa vyombo Vya Habari, ilifafanua kwamba Hatua Hiyo ya Dk Mahiga, ni Utekelezaji wa Maagizo ya Rais John Magufuli Kwa Mujibu

No comments:

Post a Comment