Tuesday 15 December 2015

Marekani Yamuweka Njiapanda Magufuli Suala La Zanzibar



   
Imemuweka Njiapanda Serikali ya Rais Dk. John Magufuli, Baada ya Bodi ya Shirika lake la Changamoto za Milenia (MCC) Kuamua kukutana kesho kujadili Masuala kadhaa ya Utoaji wa Misaada kwa Nchi Zinazoendelea Huku angalizo lake kwa Serikali ya Tanzania kuhusiana na Uchaguzi wa Zanzibar likiwa Bado Halijapatiwa Ufumbuzi. Kwa Mujibu wa Ratiba ya MCC, kikao Chao Cha Bodi kitakutana kesho

No comments:

Post a Comment