Sunday 13 December 2015

UONGOZI WA HOSPITALI YA MWANANYAMALA KESHO KWENDA WIZARANI

 Mhe. Naibu Waziri  wa Afya  Maendeleo ya Jamii na Jinsia na Watoto Dkt Hamis Kigwangala aliuagiza Uongozi wa Hospitali hiyo Kufika Wizarani Siku ya Kesho saa 10 jioni ili Kupewa Maelekezo Jinsi ya kufanya kazi ya Kuwahudumia Wananchi na Kwenda Sawa na kasi ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli ambaye Anahitaji kuona Serikali yake ikifanya Kazi kwa kuhudumia Wananchi.




Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Hamis Kigwangala akitazama moja ya cheti cha Mgonjwa aliyekuwa akilalamika Kusubiri kwa muda Mrefu Bila Kupatiwa

No comments:

Post a Comment