Monday 29 December 2014

Mvua ya saa mbili yaanika udhaifu wa Dar


 Magari yakipita katika makutano ya barabara za Morogoro na bibi titi Dar es Salaam baada ya mvua iliyonyesha kwa saa mbili jana 

Saturday 20 December 2014

ZIARA YA WAZIRI MTWARA


KILIMO CHA UMWAGILIAJI KUCHANGIA ASILIMIA 25 YA CHAKULA

uharibifu wa mazingira

Zaidi ya miaka themanini baada ya kuondoka katita magodi ya Wallaroo (Kadina, Australia kusini), vigoga vinabakia tu kama uoto pekee katika eneo hili.

MAONI: Bajeti ya mwaka 2014/15 siyo endelevu


Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya akionyesha mkoba uliobeba Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15, mjini Dodoma jana. Picha na Edwin Mjwahuzi.

Uzembe kama huu Mv Victoria usirudiwe


MV Victoria 

Diamond kuwa mgeni rasmi ‘Zari All White Ciroc’


Unamkumbuka Nyamayao?






Messi arejea kileleni kumi bora





Mshambuliaji wa Barcelona,Lionel Messi (katikati) akiwakimbiza wachezaji wa Chelsea wakati wa mechi ya nusu fainali kwenye michuano ya Klabu Bingwa Ulaya,Aprili mwaka huu. 

Matunda ya Yanga Uturuki yajibu Taifa

Mshambuliaji wa Yanga, Didier Kavumbagu (kushoto) akijaribu kumpiga chenga beki wa Black Leopards, Muganga Jean katika mechi ya kirafiki kwenye Uwanja wa Taifa jana. Picha na Michael Matemanga   

BARAZA LA USHAURI LA CHUO CHA MAFUNZO YA HOTELI NA UTALII
















Monday 8 December 2014

Kocha Phiri apambanisha wachezaji Simba

Kocha Phiri apambanisha wachezaji Simba

 

 Wachezaji wa timu ya Simba ya Jijini Dar es Salaam wakifanya mazoezi yao chini ya Kocha patrick Phiri, (hayupo pichani) wakijiandaa na mechi ya Mtani Jembe. Na Mpigapicha Wetu 


WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI,UTALII NA MICHEZO IMEJIPANGA VIZURI KUINGIA KWENYE KIPINDI CHA DIJITAL

WIZARA ya Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo imeeleza kuwa itahakikisha inaingia katika mfumo wa utangazaji wa Dijitali kwani maendeleo katika ujenzi wa miundombinu yake yanatia moyo na vifaa vyote vinatarajiwa kufika na kufungwa kabla ya Disemba 31 mwaka huu.Maelezo hayo yametolewa na uongozi wa Wizara hiyo, wakati wa mkutano kati ya uongozi huo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, katika kuangalia utekelezaji wa Malengo Makuu ya Wizara hiyo kwa kipindi cha Aprili- Juni 2011-2012 na Julai- Septemba 2012-2013.
Katika mkutano huo uliofanyika Ikulu mjini Zanzibar ambapo pia, Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Sharif Hamad, Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Idd na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahaya Mzee walishiriki kikamilifu
Wizara ya Habari,Utamaduni,Utalii na Michezo imejipanga vizuri kuingia kwenye mfumo wa Dijital
Akisoma taarifa ya utangulizi ya utekelezaji wa Malengo makuu hayo ya Wizara

Friday 15 August 2014

WASANII KUSHIRIKI TAMASHA LA KWANZA LA KIMATAIFA LA MUZIKI LITAKALOFANYIKA JIJINI CAIRO, MISRI

index
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) linawataka wasanii wote nchini wa sanaa za muziki wa asili na kiutamaduni kuchangamkia fursa ya kushiriki tamasha la kimataifa la

MAZINGIRA NA JAMII

MACHIMBO YA MADINI YA MCHANGA

MACHIMBO ya madini ya Ujenzi(Mchanga)ni bidhaa ambayo inalijenga Taifa letu, lakini kwa upande wa pili wa shilingi,uchimbaji wa madini hayo,unayaweka mazingira yetu katika hali hatarishi kwa vizazi vijavyo.
LORI aina ya Isuzu likitoka eneo la mgodi wa machimbo ya madini ya Ujenzi chimbo la

Wamiliki wa hoteli wahimizwa kukuza utalii Zanzibar

143
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akifanya ziara maalum ya kukitembelea Kisiwa cha Bawe kilichopo Magharibi ya Mji wa Zanzibar kuona shughuli za

Tuesday 12 August 2014

galley

The Guardian, home of professional excellence, says CNN finalist

Dickson Ng'hily
IPP Media has been cited as a centre of excellence in journalism in that it is for the third time journalists from the media firm make it to the prestigious CNN Multichoice