Sunday 9 August 2015

Lowassa `kuifunika` Dar leo

 
Ni rahisi kutabiri, kwamba kesho barabara kadhaa za Jiji la Dar es Salaam zitapitika kwa tabu pale vyama vinavyounga Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vitakapomsindikiza mgombea urais wake, Edward Lowassa  kuchukua fomu za kuwania nafasi hiyo.