Friday 11 December 2015

HOME SHOPPING CENTER

Home Shoppinga Center Yajitokeza Kujibu Tuhuma Za Kukwepa Kodi


Baada ya kusambaa kwa Taarifa kwenye Mitandao Zikieleza kuwa Kampuni ya Home Shopping Centre imefunga Maduka yake Kutokana na kukwepa kodi na Kuhusika kwenye Sakata la kontena yaliyopotea Bandarini, Uongozi wa Kampuni hiyo Umejitokeza na kupinga Taarifa hizo. Kupitia taarifa yake kwa vyombo vya habari, kampuni hiyo imeeleza kuwa habari hizo sio za kweli na kueleza kuwa haijawahi kukwepa kodi

No comments:

Post a Comment