Wednesday 9 December 2015

SITTA NA MWAKYEMBE HAWANA PA KUKWEPA KWA HILI

ISADI BANDARI NA MABEHEWA,KAMATI KUU YA CCM YAWAKINGIA KIFUA SITTA NA MWAKYEMBE

Katika hali inayoashiria kuwa CCM haijajifunza somo kuwa wananchi wamekerwa na ufisadi.
CCM inataka kuwafanya wananchi wakose matumaini kwa serikali yao, na hivyo kupelekea kuona kuwa juhudi za Rais Magufuli ni hatua za kuwabana dagaa huku wakiyaachia mapapa yakitanua mtaani.na kuikosesha serikali mapato makubwa ambayo yangesaidia wananchi kupata huduma safi za afya elimu miundo mbinu

No comments:

Post a Comment