Saturday 6 May 2017

Wanafunzi wa Lucky Vincent Nursery na primary school 32 wapoteza Maisha ajali ya costa wilayani Karatu

  Wanafunzi zaidi ya 20 wanahofiwa kupoteza maisha  katika ajali ya basi iliyotokea wilayani Karatu leo asubuhi.
  kuwa basi hilo lilikuwa likitokea Arusha Mjini kuelekea katika Mbuga za wanyama.
 Mkuu wa Wilaya ya Karatu, Therezia Mahongo amethibitisha tukio hilo.








1 comment:

  1. i am always looking for some free stuffs over the internet. there are also some companies which gives free samples. early years school abuja

    ReplyDelete