Saturday 26 December 2015

Lowassa Kawa Mfugaji


Aliyekuwa mgombea wa Uraisi kwa Mwavuli wa Ukawa Ndugu Edward Lowasa  Akichunga Ng'ombe zake huko Handeni mkoani Tanga.
 
Lowassa yuko Mapumzikoni na familia yake katika shamba lake la Mifugo lililopo Eneo la Mzeri,Handeni Mkoani Ta
nga


No comments:

Post a Comment