Friday 11 December 2015

JIJI LA MWANZA

Picha ambayo inaonyesha Mandhari ya jiji la Mwanza ambalo limekumbwa na Mlipuko wa Ugonjwa wa Homa ya Nguruwe katika Wilaya za Nyamagana Mabatini Mirongo Kishiri Buhongwa na Igoma na Kuzuia Ugonjwa huo usienee ni Wafugaji kutowarisha Nguruwe Mizoga Tekeleza Mizoga iliyokufa kwa Ugonjwa huo na Kutumia Dawa za kuuwa Vimelea vya Ugonjwa huo.
DSC05712

No comments:

Post a Comment