Tuesday 15 December 2015

Aliyekuwa Mgombea Ubunge Wa Arusha Mjini Apinga Matokeo na Alitupia Lawama Jeshi la Polisi


Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa Tiketi ya CCM, Philemon Mollel amepinga Matokeo ya uchaguzi huo Yaliyompa Ushindi wa kishindo, Godbless Lema wa Chadema. Akiongea na Waandishi wa Habari baada ya Msimamizi wa Uchaguzi huo kutangaza Matokeo, Mollel alidai kuwa kulikuwa na Udanganyifu Mkubwa ambao Unafanya matokeo Hayo kutokuwa Halali. Alisema kuwa wakati Zoezi la kupiga...

Saed Kubenea Apandishwa Mahakama Ya Kisutu na Kusomewa Shitaka La Kutoa Lugha Chafu Dhidi Ya Makonda

Mbunge wa jimbo Ubungo kupitia Chadema, Saed Kubenea amepandishwa kizimbani kortini Kisutu, Jijini Dar es Salaam leo na kusomewa Shitaka la Kutoa lugha Chafu Dhidi ya Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Hata hivyo, Kubenea Amekana kufanya kitendo Hicho na kesi yake kuahirishwa hadi Desema 29, Mwaka huu huku Uchunguzi Ukiendele...

No comments:

Post a Comment