Saturday 19 December 2015

Zahanati Ya Kimara Yapokea Msaada wa Mashine za Kupimia Mapigo ya Moyo




Mganga Mfawidhi Zahanati ya Kimara, Dk. Alphoncina Mbinda (kushoto) Akipokea Baadhi ya Mashine za kupimia Mapigo ya moyo kwa Mgonjwa kutoka kwa Meneja Uratibu wa NMB Plc, Thomas Kilongo. Miongoni mwa Mashine Zilizotolewa ni pamoja na Mashine ya kupimia joto la Mgonjwa, Mashine 10 za kupimia ‘BP’ kwa Mgonjwa, Mashine 10 za kupimia Mapigo ya Moyo, Mzani Wa kupimia Uzito na Urefu kwa Wagonjwa, Vifaa vya kukusanyia Takataka, Spika na kipaza sauti chake pamoja na Mashine Nyingine za kisasa kwa Ajili ya Vipimo Anuai kwa wagonjwa.
Dk. Alphoncina akipokea Baadhi ya Mashine za kupimia Mapigo ya Moyo kwa Mgonjwa kutoka kwa Meneja Uratibu wa NMB Plc, Thomas Kilongo.Picha na Kalonga Kasati

No comments:

Post a Comment