Wednesday 9 December 2015

NYUMBANI KWA WEMA SEPETU KUMEKUTWA UMEME UNAINGIA PASIPO KUPITIA KATIKA MITA

SHIRIKA LA UMEME TANESCO LIMEBAINI WIZI WA UMEME NYUMBANI KWA WEMA SEPETU




Shirika la Umeme nchini, Tanesco limebaini wizi wa umeme nyumbani kwa Wema Sepetu.

Mafundi wa shirika hilo waliambatana na waandishi wa habari hadi kwenye nyumba hiyo na kubaini kuwa umeme unaingia moja kwa moja kwenye nyumba bila kupita kwenye mita.

No comments:

Post a Comment