Saturday 19 December 2015

Waziri Dkt. Kigwangalla Afanya Ziara ya kushtukiza leo katika Hospitali za Rufaa Mikoa ya Lindi na Mtwara

IMG_9315
Kaimu Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Sokoine Ya Mkoa wa Lindi, Damasiana Msalla Akimuongoza Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi Kigwangalla kuelekea kwenye Wodi za hospitali Wakati wa Ziara ya kushtukiza Aliyofanya Mkoa Wa Lindi
IMG_9342
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Sokoine ya Mkoa wa Lindi, Dkt. Evaristo Kasanga Akimkaribisha Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee, Dkt. Hamisi

No comments:

Post a Comment