Monday 14 December 2015

Mbunge Mteule Handeni Tanga Omary Kigoda



Omari-Kigoda
Picha ni Omary Abdallah Kigoda.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Handeni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Omary Abdallah Kigoda ameibuka Mshindi kwa kupata kura 10,315.

  Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Handeni Mjini, Keneth Haule amemtangaza Omary kuwa Mbunge Mteule wa Jimbo hilo.

Matokeo Jimbo La Handeni Tanga:
Omary Kigoda CCM 10,315
Shundi Aidan CUF 2415
Daud lusewa CHADEMA 648
Doyo Hassani ADC 184
Makame Bakari TLP 19
Bakari Mhina AFP 6
Wapiga Kura Waliojiandikisha Walikuwa 38,610
Waliopiga Kura ni 13,805
Kura Halisi 13,591
Kura Zilizoharibika 214

No comments:

Post a Comment