Thursday 24 December 2015

Mtu MmmojaAmepigwa Kwa Tuhuma Za Kujiita Afisa wa TRA

Na Kalonga Kasati

  
  Tukio la Baadhi ya Raia Wenye hasira Waliokuwa wakilishambulia gari la mtu mmoja lenye Namba za Usajili T945 BYG,na pia kumpa kipigo Mtu huyo aliyetuhumiwa kuwa ni Tapeli .
Mtu huyo alijitambulisha kuwa ni Afisa wa TRA,lakini akatuhumiwa kuwa ni Tapeli aliyetaka kufanya tukio la kiuhalifu kwenye Moja ya Maduka yaonekayo Mbele ya Gari Hilo,tukio hilo limetokea hivi Leo Maeneno ya Tabata Segerea. Mtuhumiwa huyo ambaye Jina lake Halikuweza kufahamika  Mapema,Amekamatwa na kupelekwa kituo cha Polisi Tabata Segerea kwa Hatua zaidi za kisheria

No comments:

Post a Comment