Saturday 12 December 2015

YALIYOJILI KUWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI

Na Kalonga Kasati
Mawaziri na Manaibu Waziri , leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam Wakila kiapo cha kutumikia Nyadhifa zao Walizoteuliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe MagufuliRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Katiba na Sheria, Harrison Mwakyembe katika Hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Ashantu Kijaji Katika Hafla Fupi ya Kuwaapisha Mawaziri, leo katika Ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha  Waziri Wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Lameck Nchemba katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi Wa Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Akimwapisha Waziri Wa Sera, Bunge, Kazi ,Vijana,Ajira na Walemavu, Dkt. Abdallah Possi katika Hafla fupi ya Kuwaapisha Mawaziri, na Manaibu Waziri leo Katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment