Saturday 19 December 2015

NHIF Wazindua Huduma za Afya na kuwapelekea Madaktari Bingwa Mkoani Singida






IMG_1247
Kaimu mkurugenzi Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),Michael Mhando,akitoa Ufafanuzi Juu ya lengo la Mfuko huo kutuma Madaktari Bingwa wa Magonjwa Mbalimbali Mikoani,kuwa Pamoja Na Mambo Mengine,ni kusogeza karibu Zaidi  Huduma Zinazotolewa na Madakatari hao Ambao ni Adimu.Wa pili kushoto waliokaa ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone na wa kwanza kulia ni katibu Tawala Mkoa wa Singida, Festo Kang’ombe. Na Nathaniel Limu Singida Serikali Mkoani  Singida, imewataka Wananchi kuitumia Fursa Hiyo ya kujipatia Huduma za Afya  











No comments:

Post a Comment