Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mwakilishi wa Kampuni ya Mafuta ya Stat Oil ya Norway,
Bw. Oystein Michelsen kabla ya kupokea taarifa ya maendeleo ya mradi
mkubwa wa ujenzi wa kiwanda cha kusindika gesi asili (LNG Plant)
kinachotarajiwa kujengwa katika eneo la Likon’go, Mchinga Mkoani Lindi.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akijadiliana jambo na Meneja Biashara wa Kampuni ya Stat Oil ya Norway
Oivind Holm Karlsen (watatu) kutoka kushoto mara baada ya kumaliza
mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Wapili kutoka kushoto ni
Mwakilishi wa Kampuni hiyo, Bw. Oystein Michelsen. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment