Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (wa tatu kulia), akimsikiliza
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), kanda ya
Afrika Mashariki Dkt. Nyamajeje Weggora (wa tatu kushoto),
alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (wa kwanza kulia), akifafanua jambo
kwa wajumbe kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), kanda ya Afrika
Mashariki walipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (wa kwanza kulia) akifafanua jambo
kwa wajumbe kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), kanda ya Afrika
Mashariki walipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment