Wednesday 31 August 2016

Moto wateketeza nyumba mbili Magomeni Mapipa



 Wakazi wa eneo hilo
Zimamoto wakiwa eneo la tukio 
Wakazi wa eneo hilo wakiwa katika taharuki

Moto waunguza nyumba mbili mchana huu maeneo ya Magomeni Mapipa mtaa wa Jaribu karibu na Topland bar.
Moto huo ulianza katika nyumba moja na baada ya kupamba zaidi ukaamia kwenye nyumba ya pili.

Mpaka sasa zimamoto wanaendelea na jitihada za kuuzima moto huo.

Chanzo cha moto bado hakijajulika.

Tutazidi kuwajulisha kadri tutakavyopata taarifa.

No comments:

Post a Comment