Saturday 27 August 2016

Jose Mourinho asema ni vigumu sana Bastian kupata nafasi

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho alipo kuwa akiongea na waandishi amesema kuwa hafiriki na ni vigumu sana Bastian kupata nafasi ya kucheza msimu huu, sijasema haiwezekani , nimesema ni vigumu sana.

Kama tatizo lolote litatokea au nafasi , nina vijana katika Academy, nitafurahi kuwapa nafasi ya wao kuendelea.

No comments:

Post a Comment