Friday 26 August 2016

Jenerali Ulimwengu kapata ajali mapema asubuhi leo

CqxXkThWcAQOn-Z.jpg
Mwanahabari, na Mwenyekiti wa Bodi ya Gazeti la Raia Mwema Jenerali Ulimwengu 
amepata ajali asubuhi mapema leo. Yupo hospitali Muhimbili kitengo cha mifupa Moi kwa matibabu.

No comments:

Post a Comment