Friday 26 August 2016

Bravo asajiliwa Man City kwa mkataba wa miaka minne

Klabu ya Man City imetangaza rasmi kumsajili kipa Claudio Bravo kutokea Barcelona kwa ada ya paundi mil 17.
Kipa huyo wa Chile,33, amesaini mkataba wa miaka minne katika kikosi hicho cha Pep Guardiola.

No comments:

Post a Comment