Wednesday 31 August 2016

Chadema yahairisha maandamano mpaka oktoba mosi

 
CHADEMA yatangaza kuhairisha 'Operesheni UKUTA' hadi Oktoba Mosi kutoa nafasi ya mazungumzo kati ya Rais na viongozi wa Dini.

 
- Freeman Mbowe asema wamekutana mara nyingi kwenye vikao na Viongozi wa Dini lakini CCM imekuwa ikigoma kudhuria vikao hivyo

2 comments:

  1. Commendable decision for the health of Tanzania and its people

    ReplyDelete
  2. Hayo ni maamuzi ya wenye hekima peke yao na tunayaunga mkono kwa ustawi wa Taifa. Hakuna mshindi hapo bali sote kama Taifa ndiyo tumeshinda dhidi ya hila za wale waliokamia ama kunuia mabaya dhidi ya wengine. Mungu ibariki Tanzania.

    ReplyDelete