Friday 26 August 2016

Ziara ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Mkutano wa African Peer Review nchini Kenya

UHU1
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwa katika maungumzo na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya (kulia), Rais wa Msumbiji,  Filipe Nyusi (wapili kulia) na Mwenyekiti  wa Umoja wa Afrika (AU), Madame Nkosazana Dlamini- Zuma kabla ya kuanza kwa Mkutano wa African Peer  Review Mechanism Forum (APRM) kwenye ukumbi wa hoteli ya Intercontinental jijini Nairobi Agosti 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
UHU2
UHU3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni  kabla ya kuanza kwa Mkutano wa African Peer  Review Mechanism Forum (APRM)kwenye ukumbi wa hoteli ya Intercontinental jijini Nairobi Agosti 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
UHU4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na ujumbe wake wakishiriki katika Mkutano wa African Peer  Review Mechanism Forum (APRM)kwenye ukumbi wa hoteli ya Intercontinental jijini Nairobi Agosti 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment