Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akisalimiana na
Bw,Mauricio Ramos,Mtendaji Mkuu wa kampuni ya “Millicom Group”akiwa na
ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo (kushoto)
Nd,Benoit Janin Mtendaji Mkuu wa Zanztel ,[Pivha na Ikulu.]23/08/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Bw,Mauricio
Ramos,Mtendaji Mkuu wa kampuni ya “Millicom Group”akiwa na ujumbe wake
walipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo jana,[Pivha na
Ikulu.]23/08/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Bibi
Rachel Samren Naibu Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Millicom Group pia
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Zanztel (katikati) Bw,Mauricio Ramos,Mtendaji
Mkuu wa kampuni ya “Millicom Group”(wa pili kulia) na (kushoto)
Nd,Benoit Janin Mtendaji Mkuu wa Zanztel ujumbe huo ulifika Ikulu Mjini
Unguja jana kwa mazungumzo na Rais,[Pivha na Ikulu.]23/08/2016.
No comments:
Post a Comment