Saturday, 20 August 2016

Mazoezi ya kukabiliana na uhalifu


IR2
Askari wa vikosi  vya kutuliza ghasia wa wakiwa  na magari yao wakati wa mazoezi ya utayari  wa kutuliza  ghasia na  kukabiliana na matukio yoyote ya uhalifu na wahalifu.
IR3
Askari wa vikosi  vya kutuliza ghasia wa mikoa mbalimbali wakiwa  na magari yao wakati wa mazoezi ya utayari  wa  kupambana na matukio mbalimbali ya uhalifu na wahalifu katika maeneo mbalimbali.
IR4
Askari wa kikosi  cha kutuliza ghasia  mkoa wa Lindi  wakifanya mazoezi magumu ya kijiweka tayari  kukabiliana na matukio yoyote yatakayojitokeza ikiwemo watu wasiotii amri  za  Jeshi  la Polisi ikiwa ni pamoja na kutofuata sheria za nchi.
IR5
Askari Polisi wa kikosi maalum cha polisi (CRT) wa mkoa wa Iringa wakiwa katika mazoezi ya utayari wa kukabiliana na matukio yoyote yatakayojitokeza  katika maeneo mbalimbali. ( Picha na makao makuu ya  Jeshi la Polisi)
Askari wa vikosi  vya kutuliza ghasia wa wakiwa  na magari yao wakati wa mazoezi ya utayari  wa kutuliza  ghasia na  kukabiliana na matukio yoyote ya uhalifu na wahalifu.
IR7
Askari  Polisi wa vikosi vya kutuliza ghasia wa  wa mikoa ya Lindi, Iringa, kanda maalumu ya Dar es salaam na mikoa mengine wakipokea maelekezo mbalimbali wakati wa mazoezi ya tayari katika kukabiliana na matukio mbalimbali ya uhalifu na wahalifu   (Picha zote na makao makuu ya Jeshi la Polisi.)

No comments:

Post a Comment