Waziri mkuu Majaliwa amtembelea Jaji Warioba, pia awajulia hali spika wa Bunge Mh Job Ndugai na John Malecela
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji
Joseph Sinde Warioba wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Oysterbay
jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kulia) wakizungumza
na Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) na kewe Fatma Mganga Ndugai wakati
wakati walipokwenda nyumbani kwa Spika Salasala jijini Dar es salaam kumjulia hali.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kulia) wakiagana na
Spika wa Bunge Job Ndugai (kulia) na mkewe Fatma Mganga Ndugai (wapili
kushoto) wakati walipokwenda nyumbani kwa Spika, Salasala jijini Dar es
salaam kumjulia hali.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, John
Malecela wakati alipomjulia hali jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, John
Malecela wakati alipomjulia hali jijini Dar es salaam
No comments:
Post a Comment