Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi Mhe. Jaji Mstaafu Damiani Lubuva (kushoto) akiongoza kikao cha
Wajumbe wa Tume na Sekretarieti cha Usaili wa Waratibu na Wasimamizi
Uchaguzi mdogo katika jimbo la Dimani, Zanzibar utakaofanyika Januari
22, 2017.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhan (katikati) akitoa
ufafanuzi kwa Wajumbe wa Tume na Sekretarieti ya Tume wakati wa kikao
cha Usaili wa Waratibu na Wasimamizi wa Uchaguzi mdogo katika jimbo la
Dimani Zanzibar. Kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,
Jaji Mstaafu Damiani Lubuva na Kulia ni Mjumbe wa Tume Mhe. Mchanga
Mjata.
Baadhi ya Wajumbe wa
Seckretarieti ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakifuatilia kwa makini
zoezi la Usaili wa kuwapata Waratibu na Wasimamizi wa Uchaguzi mdogo
katika jimbo la Dimani Zanzibar leo.
Wajumbe wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi wakipitia vyeti na nyaraka mbalimbali wakiongozwa na Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damiani Lubuva wakati wa
Usaili wa nafasi ya Waratibu na Wasimamizi wa Uchaguzi mdogo katika
jimbo la Dimani utakaofanyika Januari, 22, 2017.

Mmoja wa washiriki wa Usaili
katika nafasi ya Mratibu wa Mkoa katika Uchaguzi mdogo wa Jimbo la
Dimani Bw. Salum Juma Mgunya akijieleza wakati wa Usaili mbele ya
Wajumbe wa Tume na Sekretarieti ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi leo mjini
Zanzibar.
Mmoja wa washiriki wa Usaili
katika nafasi ya Msimamizi wa Uchaguzi katika Uchaguzi mdogo wa Jimbo
la Dimani Bi. Fatma Gharib Haji akijieleza wakati wa Usaili mbele ya
Wajumbe wa Tume na Sekretarieti ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi leo mjini
Wajumbe wa Sekretarieti ya Tume
ya Taifa ya Uchaguzi wakifuatilia Usaili wa Wasimamizi na Waratibu wa
Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Dimani Zanzibar.
Picha na Aron Msigwa – NEC, Zanzibar.
No comments:
Post a Comment