Wednesday 28 December 2016

Sikukuu ya mwaka mpya yapigwa marufuku Korea Kaskazini

Sikukuu ya mwaka mpya yapigwa marufuku Korea Kaskazini
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-Un amepiga marufuku sherehe za Krismasi na mwaka mpya kusherekewa nchini humo
Hata katika sherehe za Krisimas, Kwa mujibu wa habari ya India Times ni kuwa badala ya kusherekea kuzaliwa kwa Yesu kulingana na imani ya wakristo,raia nchini humu walitenga siku hiyo kumuenzi bibi ya Kim .

Kim ambaye pia ni mwanaharakati wa kikomunisti amefahamisha kuwa bibi yake atatambulika kuwa 'Mama mtakatifu wa mabadiliko'

No comments:

Post a Comment