Wednesday 28 December 2016

Rais wa Serbia ya Bosnia anyimwa "Visa" ya Marekani

Rais wa Serbia ya Bosnia anyimwa Viza kushiriki katika hafla ya kuapishwa kwa Trump
Rais wa Serbia ya Bosnia anyimwa "Visa" ya Marekani
Rais wa Serbia ya Bosnia Milorad Dodik amenyimwa Visa ya Marekania ambapo alikuwa akitaraji kushiriki katika hafla ya kuapishwa kwa rais mpya wa Marekanş Donald Trump.
Milorad Dodik ameomba Visa ikiwa ni ruhusa ya kuingia taifa la Marekani na kusema kuwa alikuwa amearifiwa katika hafla ya kuapishwa kwa rais mteule wa Marekani Donald Trump.

Balozi wa Marekani Sarayevo amefahamisha kuwa Milorad Dodik hawezi kushiriki katika hafla hiyo na kuwakilisha raia wa Bosnia-Herzegovina.

Dodik kwa upande wake amefahamisha katika kituo cha runinga kuwa hati ya safari "passport" ya kidiplomasia  ya Bosnia haikuwa ikimsadia  na kusema kuwa angesafiri na hati ya Serbia.

No comments:

Post a Comment