Friday 23 December 2016

Ziara ya kumuona Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam

polc1
Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Askofu Mkuu  wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo walipomtembelea kumpa pole kufuatia kifo cha dada yake  nyumbwani kwake Kurasini jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
polc2
hadi p6: Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Askofu Mkuu  wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo walipomtembelea kumpa pole kwa kufiwa na dada yake nyumbwani  kwake Kurasini jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
polc3 polc4

No comments:

Post a Comment