
Watumiaji sasa wataweza kurusha live video ya zaidi ya saa nzima. Hata hivyo tofauti na Facebook Live, video hizi hazibaki kwenye app ili uweze kuangalia baadaye.
Ingawa Instagram ilitoa tangazo hilo kuhusu video za live tangu November mwaka huu, app hiyo ilikuwa ikifanyia majaribio kwa siri nchini Urusi.
No comments:
Post a Comment