Saturday 24 December 2016

Antoine Griezmann alivyo kutana na mcheza kikapu mwenye urefu wa futi 7


Mchezaji wa klabu ya Atletico Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa, Antoine Griezmann ambaye alitembelea ukumbi wa Madison Square Garden mjini New York, Marekani juzi nakukutana na mchezaji wa kikapu wa New York Knicks, Kristaps Porzingis mwenye urefu wa futi 7 na inchi tatu huku Griezmann yeye akiwa na urefu wa futi 5 na inchi tisa


No comments:

Post a Comment