Wednesday 28 December 2016

Rufaa ya Lema yagonga mwamba

.Image result for lema mahakamani
 Usikilizwaji wa Rufaa ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema ya kupinga kunyimwa dhamana imekwama kusikilizwa baada ya upande wa Jamhuri kukata rufaa ya kupinga mbunge huyo kuongezewa muda wa kuwasilisha notisi ya rufaa.
Lema aliyekamatwa Novemba 2, akiwa mjini Dodoma tangu wakati huo anashikiliwa kwenye gereza la Kisongo jijini Arusha.
Baada ya rufaa ya Lema kukwama leo amerudishwa gereza la Kisongo.

No comments:

Post a Comment