
Dkt Riek Machar alitaka wanajeshi kutoka nje wawepo Juba kumlinda
Msemaji wake James Gatdet Diak alisema kiongozi huyo amefanikiwa kuhamia taifa jirani, ambalo hakulitaja jina.
Rais Kiir alimfuta kazi Dkt Machar mwezi uliopita.
Bw Taban Deng Gai aliteuliwa kuchukua nafasi yake.
Dkt Machar alikuwa awali amesema hatarejea Juba hadi kuwepo na kikosi cha wanajeshi wasioegemea upande wowote cha kumlinda.
No comments:
Post a Comment