Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mrisho Gambo kuwa Mkuu wa
Mkoa wa Arusha Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mrisho Gambo kuwa Mkuu wa
Mkoa wa Arusha Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa pamoja na Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo mara
baada ya tukio la Kiapo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha
ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wa kwanza (kulia) na Naibu
Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI
Selemani Jafo wa kwanza (kushoto).
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo mara baada ya kumuapisha
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan
akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo mara baada ya kuapishwa
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Rais Mstaafu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt.
Donald Kaberuka aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Rais Mstaafu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt.
Donald Kaberuka mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar
es Salaam. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment