
Diana Edward akiwa na wawakilishi wa Denmark, Montenegro, Honduras, Uruguay, Poland na Ecuador
Miss Tanzania 2016, Diana Edward amejikusanyia sifa nchini kwa jinsi
alivyoweza kujichanganya na mamiss wengi waliopo nchini Marekani
kwaajili ya shindano la Miss World. Kwa muda mfupi ameweza kupata
marafiki, Miss Hondurus na Mexico wakiwa karibu naye zaidi.Pamoja na kujichanganya nao vyema, Diana amewatambulisha warembo wake kwenye muziki wa Singeli na wanaonekana kuufurahia. Kupitia Instagram, Diana amepost video mbili zikiwaonesha, Miss Hondurus, Kerelyne Campigoti Webster na Miss Mexico, Ana Girault wakiucheza wimbo wa Man Fongo, Hainaga Ushemeji.
Kwenye Instagram Girault ameandika: Learning new songs 


maaaaambo! #MissWorld #MissMexicogoestoWashington.”
No comments:
Post a Comment