Kada wa CCM Aliyetuhumiwa Kughushi Kitambulisho cha Usalama wa Taifa Aachiwa huru
Miezi kadhaa iliyopita aliyekuwa mwenyekiti wa umoja wa vijana wa chama
cha mapinduzi ‘UVCCM’ Arusha, Lengai Ole Sabaya alishtakiwa kwa kosa la
kujifanya ofisa usalama wa Taifa na kughushi kitambulisho cha usalama wa
taifa.
Kesi hiyo imetolewa maaamuzi na mahakama ya hakimu mkazi Arusha leo
December 14 2016 ambapo imemuachia huru Lengai Ole Sabaya baada ya
upande wa Jamhuri kusema hawana nia ya kuendelea na kesi hiyo.
No comments:
Post a Comment