
Tarajia wimbo wa Alikiba akiwa na mwanamuziki mkongwe wa Afrika Kusini, Yvonne Chaka Chaka. Wawili hao wameingia studio wiki hii kurekodi wimbo huo jijini Johannesburg, ambako Kiba alikuwa ameenda kutumbuiza kwenye tuzo za Mkhaya Migrants [Awards].
Bosi wa kampuni ya PR, Creative Mind Space, Matthew Mensah amepost picha hiyo juu na kuandika:
In presence of Greatness: Studio Time with East Africa’s KingKiba aka @officialalikiba & The Legend & my Humanitarian rolemodel ; Our African Queen; Yvonne Chaka Chaka. Such an honour to be around You Mama Yvonne. You truly are an African Queen in every sense of the word. And My Bro Kiba, Your talent, good heart & professionalism will take you to heights in 2017 that people didn’t think possible before.
Proud Executive Producer together with my homie @shillymingz …Thank You Bro. AFRICAN MAGIC 🎤 & Thank You @sevenmosha for being so brilliant & the motor in this amazing project. & ofcourse Thanks to our friend who introduced all @rio_the_stylist


Alikiba akiwa na Yvonne Chaka Chaka pamoja na Matthew Mensah wa kampuni ya PR, Creative Mind Space
Kwa upande wake Alikiba, aliweka picha akiwa na Yvonne akimpa ua na kuandika:
It was a great honor and pleasure to meet Mama Yvonne Chaka Chaka who I have loved and admired all my life . Thank you for hosting us and sharing your memories, advices and guidance. I am truly grateful and looking forward to our project.”

No comments:
Post a Comment