Akizungumza na wananchi wa Ruaha Mkoani Morogoro, Prof Jay amesema alimjibu mkuu wa Wilaya hiyo kuwa, kuliko kuchangia Mbio za Mwenge ni bora fedha zake aelekeze kwenye Maendeleo ya Wananchi.
“Wakati nakuja njiani Mkuu wa Wilaya alinipigia simu, akanambia Mh tumeleta barua ofisini kwako kuomba Mchango wako katika Mbio za mwenge, nikamwambia daah hizo hela za kuchangia karibu Milioni tano, ni bora nipeleke Ruaha Maji yatoke tu” Alisema.
No comments:
Post a Comment