Saturday 30 April 2016

Mkuu wa Mkoa Dar es salaam Paul Makonda ameongoza Wakazi wa Jiji kufanya Usafi


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi wakiongoza maelfu ya Wakazi wa Jiji la Dar es salaam katika matembezi maalum ya kampeni ya kuhamashisha usafi katika jiji hili #Dar es salaam Ya Makonda, Usijifanye Mstaarabu kuwa  Mstaarabu. Matembezi hayo Yalimeanzia katika Uwanja wa Karume, Ilala na kuishia katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es salaam.
Sehemu ya wananchi wa Jiji la Dar es salaam wakishiriki Matembezi ya maalum Ya kampeni ya kuhamashisha usafi, kuunga mkono kauli ya Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda aliyeongoza matembezi hayo. #Dar es salaam Ya Makonda, Usijifanye Mstaarabu kuwa  Mstaarabu.

No comments:

Post a Comment