Saturday 30 April 2016

Hafla ya Kuagwa Kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro

  
Hafla ya kumuaga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya mstaafu Abass Kandoro leo. Amewashukuru sana Wananchi wa Mkoa wa Mbeya kwa Ushirikiano Waliompa katika Uongozi wake wa Miaka Minne Mkoani Mbeya 
Mkuu mots wa Mkoa wa Mbeya Amos Mskalla amewaomba Wananchi Ushirikiano katika kutekeleza Majukumu yake amewahidi ataanzia alipoishia Mtangulizi wake na amewaekeza kuwa amekuja Mbeya kufanya kazi na Siasa na Dira yake ni kutekeleza ilani ya Chama Tawala, kushughulika na Kero za Wananchi, kusimamia Mipango ya Maendeleo na kuhakikisha Mkoa Wa Mbeya Una amani na Utulivu
   

No comments:

Post a Comment