Friday 29 April 2016

Liverpool Kupindua Matokeo ya Villarreal

web-liverpool-milner-rex

Jurgen Klop ameionya Villarreal kwamba Liverpool Watakuwa Tayari kupindua Matokeo Anfield Mechi ya Marudiano Ligi ya Uropa Nusu fainali.

Liverpool Walipoteza kwa kipigo cha 1-0 Dhidi ya Villarreal Alhamisi katika Mechi ya Mkondo Wa kwanza, ligi ya Uropa Baada ya Adrian kufunga Dakika ya 92, kwa shuti la karibu lililowapa Liverpool kipondo cha kwanza kweye Ligi ya Uropa msimu huu.

Ushindi huo wa Dakika za Majeruhi Uliamsha Shangwe katika Uwanja wa El Madrigal, lakini Klopp Amesisitiza Villarreal kwamba Bado Wana Mlima Mkubwa wa kupanda katika uwanja Wa Anfield kwenye Mchezo wa Marudio nchini Uingereza wiki ijayo.

Mabingwa watetezi Sevilla wakiwa ugenini walilazimisha sare ya 2 – 2 dhidi ya Sharktar Donesk.

No comments:

Post a Comment